WATU wawili wa familia moja wamefariki dunia katika Kijiji cha Masyalele, Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara baada ya kula uyoga unaosadikiwa kuwa sumu. Pia wengine wanne walazwa akiwamo mtoto wa miaka mitatu katika kituo cha afya cha Mangaka.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki baada ya mume na mke kufikishwa katika kituo hicho cha afya Januari 24 mwaka huu ambapo walilazwa lakini
↧