Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene na Naibu wake, Charles Mwijage waliripoti katika ofisi zao mpya na kuahidi kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kuhakikisha wanasambaza umeme vijijini kwa kasi.
Aidha, wamesema vipaumbele vyao katika kutumikia wananchi ni umeme, mafuta, madini na gesi.
Simbachawene alisema uongozi wake utahakikisha umeme unasambazwa vijijini kwa kasi
↧