Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mama mkazi wa kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora, Zuhura Masudi (pichani) mwenye umri wa miaka 25, kwa kosa la kuwanyonga watoto wake wawili hadi kufa.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Juma Bwire alithibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema tukio hilo lilitokea Januari 25 mwaka huu majira ya saa moja jioni maeneo ya Chechem Manispaa
↧