Watoto wanne wa familia moja wakazi wa kijiji cha kibambila wilayani Kakonko mkoani Kigoma wamefariki dunia na mmoja amelazwa katika kituo cha afya Kakonko baada ya kula chakula kinachosadikiwa kuwa na sumu.
Mganga mkuu wa wilaya ya Kakonko Dkt. Fadhil Seleman amewataja watoto hao waliofikishwa kituo cha afya Kakonko kuwa ni Neema Joseph, Jonas Joseph, Majaliwa Joseph, Yusuph Joseph
↧