Afisa mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti, Aman Kimaro( Kulia) akimkabidhi funguo ya Limo Bajaji Mshindi wa shindano la ‘Tutoke na Serengeti’ Godfrey Longino Mpiruka ( kushoto) na katikati ni mwakilishi toka kampuni ya BPESA, Balbo Kayombo katika hafla iliyofanyika Tabata Garden jijini Dar es Salaam. Kwa upande mwingine Bw. Mfaume Hassan Mbwile mkazi wa Mbagala nae pia alikabidhiwa zawadi
↧