Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ameendelea kuipeperusha
bendera ya Tanzania kupitia kipaji chake cha ubunifu wa mavazi baada ya
kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe za kuapishwa
kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia.
Rais Lungu 58, aling’arisha sherehe hizo baada ya kuvaa suti rasmi
(Presidential suit) rangi ya
↧