Wasomi na wananchi kadhaa jana walizungumzia mabadiliko ya
Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Jakaya Kikwete, wengi wakihoji
sababu za kumhamisha Dk Harrison Mwakyembe kutoka Wizara ya Uchukuzi
kwenda Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Rais
alifanya mabadiliko kwenye baraza hilo baada ya mawaziri wawili kuanguka
kutokana na kashfa ya uchotwaji takriban Sh306 bilioni
↧