CHAMA cha ACT-Tanzania kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwasaka na
kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wote waliohusika na tukio la mauaji
ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Masigo wilayani Mlele mkoani
Katavi, Christian Kahongo.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa
ACT-Tanzania, Samson Mwigamba, ilieleza kuwa chama hicho kinalaani
mauaji hayo
↧