JESHI la polisi mkoani Pwani linaendelea na msako mkali kutafuta watu walioua askari wawili wa jeshi hilo na kuiba silaha katika kituo cha polisi Ikwiriri wilayani Rufiji.
Pia, jeshi hilo limekanusha uvumi wa kuwa siku ya tukio hilo, kulikuwa na askari wengine waliokimbia kwa lengo la kujihami.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Ulrich Matei alisema hadi sasa hakuna mtu aliyekamatwa na
↧