Chama cha NCCR-Magezi kimesema, vigogo wote waliohusika kutoa na
kupokea mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Tegeta Escrow wafikishwe
mahakamani akiwamo Mkurugenzi wa VIP Engineering Ltd, James Rugemalira .
Kashfa hiyo imesababisha Rais Jakaya Kikwete
kufanya mabadiliko madogo ya baraza lake la Mawaziri kutokana na
mawaziri wawili kujiuzulu.
Mawaziri waliotajwa kwenye sakata hilo
↧