MADIWANI wa Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mlele katika mkoa wa Katavi wameshauriwa kupima afya zao ili kubaini kama wana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kabla ya kuchukua fomu za kugombea nafasi ya udiwani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika mwaka huu.
Diwani wa kata ya Kapalala, Reward Sichone alitoa ushauri huo katika kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo baada
↧