WATU wawili wakazi wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi wameuawa kikatili ambapo mmoja amecharangwa kwa mapanga na mwili wake kukatwa vipande vipande kisha kuzikwa shambani kwake na mwingine kuchinjwa na watu wanaodaiwa kuwa wa familia yake.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari alithibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema aliyekatwa vipande ni Minza Mwanalushinga (26)
↧