KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imesema itawasaidia kwenye masuala ya kisheria wanafunzi waliofukuzwa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kutokana na kuandamana kudai kupewa fedha za kujikimu.
Akizungumza juzi katika ofisi za Bunge, Waziri Kivuli wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Susan Lyimo alisema kuwa tatizo hilo linatokana na serikali kutokuwa na mipango ya kuhakikisha maslahi
↧