POLISI wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga wamefanikiwa kusambatarisha mtandao wa ujambazi kwenye mikoa hiyo baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi sugu, Njile Samweli (46) mkazi wa kijiji cha Lyoma, Bariadi mkoani Simiyu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu.
Sambamba na kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo wa ujambazi, pia watuhumiwa watano wanashikiliwa, bunduki moja yenye namba PB
↧