Hatimaye wachimbaji wote watatu waliokufa kwa kufukiwa na kifusi cha
jabali katika mgodi wa dhahabu wa Onesmo Goldmine Mawemeru uliopo
katika kijiji cha Nyalugusu Wilayani Geita imeopolewa jana usiku baada
ya juhudi za siku nne.
Hatua
hiyo imedaiwa ni matokeo ya ushirikiano na mshikamano mkubwa
uliooneshwa katika kutekeleza zoezi hilo kati ya Uongozi wa Mgodi huo,
wadau na
↧