Mfanyabiashara wa kuuza samaki, Mkome Marwa (39) wa mtaa wa Nyasura
wilayani Bunda, ameuawa na watu wasiojulikana baada ya kupigwa risasi
njiani akiwa na mke wake, huku mwingine akijeruhiwa katika matukio
mawili tofauti wilaya humo.
Kamanda
wa polisi mkoa wa Mara, Phillipo Kalangi, amesema tukio la kwanza
limetokea Januari 12 mwaka huu, saa 3 usiku, eneo la Nyasura wakati
Marwa
↧