Kamati ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa (LAAC) imebaini ufisadi
wa zaidi ya shilingi Bilioni 1.7 katika jiji la Dar es Salaam na
kuiagiza TAMISEMI kufuatilia kashfa hiyo.
LAAC
imebaini ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni moja nukta saba katika
jiji la Dar es Salaam na kuiagiza wizara ya tawala za mikoa na serikali
za mitaa (TAMISEMI) kufuatilia kashfa hiyo na kuwachukulia
↧