MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kufanya marekebisho ya hati ya mashitaka katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee (35) na wenzake wanane.
Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda alitoa amri hiyo jana wakati akitoa uamuzi wa ombi la washitakiwa hao kufutiwa mashitaka. Akitoa uamuzi huo, Hakimu Kaluyenda alisema
↧