Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Tanesco yakiri madudu kwenye ununuzi wa Luku

$
0
0
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limekiri kuwa na tatizo la huduma ya ununuzi ya Luku na kuomba radhi kwa wateja wake.   Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Decklan Mhaiki alisema tatizo hilo lilianza tangu Januari 11, mwaka huu lakini wataalamu wa mtandao wa shirika hilo wanalishughulikia.   Mhaiki alisema tatizo hilo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>