Katika
kukabilina na matukio ya mauaji na ukatwaji viungo vya watu wenye
ulemavu wa ngozi 'Albinisim' ambayo yameanza tena kushika kasi mwishoni
mwa mwaka jana serikali imepiga marufuku wapiga ramli ikiwa ni pamoja na
kuunda kikosi kazi kwa ajili ya operesheni maalum ya kuwasaka
watuhumiwa.
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh Mathias Chikawe ameyasema hayo
jijini Dar es Salaam
↧