JINA
Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania,
Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo
mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki
wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.
Kwenye
mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp
lazima utakutana na jina Zari
↧