Tanzania
imesema kuwa ni jambo la kusadikika na kufikirika tu kwa baadhi ya watu
kudai kuwa haiko tayari kukabiliana na vikundi vya uasi na ugaidi
(negative forces) vilivyobakia vikivuruga amani na kusababisha ukosefu
wa utulivu ndani ya nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
(DRC).
Badala yake, Tanzania inaendelea kuwa tayari kukabiliana na vikundi
hivyo, kwa mujibu wa
↧