Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

‘Upelelezi kesi ya Shehe Farid haujakamilika’

$
0
0
UPELELEZI wa kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake bado haujakamilika.   Wakili Mkuu wa Serikali Benard Kongola alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati kesi hiyo ilipotajwa mbele ya Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.   Wakili Kongola alidai kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>