Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Wananchi wampongeza Rais kwa kufuta Ada

$
0
0
WANANCHI wa Zanzibar wameipongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya kufuta ada za shule kwa wanafunzi wa msingi Unguja na Pemba, ambapo itasaidia kuwawezesha wanafunzi kupata elimu na kupunguza mzigo wa wazazi wa kulipa ada.   Walisema hayo walipohojiwa kwa nyakati tofauti. Haji Mohamed alisema ni uamuzi sahihi ambao unakwenda sambamba na mikakati ya

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>