Jeshi la polisi mkoa wa Mara kwa kushirikiana na wenzao wa
nchi jirani ya Kenya wamefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa
tuhuma za kumwiba mtoto Diana Meshack mwenye umri wa
miezi saba mkazi wa Makoko katika manispaa ya Musoma
kisha kufichwa nchini humo huku waibaji hao wakiomba
kupewa milioni tatu ili waweze
↧