Zaidi
ya watu 50 wamenusurika kifo katika ajali ya moto wakati wakijaribu
kupora saruji kwenye gari la mizigo lililopasuka tairi moja ya mbele na
kusababisha mlipuko mkubwa wa moto kwenye tenki la kuhifadhi mafuta
baada ya kushindwa kuzima moto ulioteketeza gari hilo sehem ya mbele
katika kijiji cha Nterungwe wilaya ya Ngara mkoani Kagera.
Gari hilo lililokuwa likitoka mkoa wa Tanga
↧