Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt Richard
Sezbera amesema jumuiya hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa
kukabiliana na changamoto za kisiasa, kiuchumi na kijamii na
malengo yaliyowekwa yanaendelea kufikiwa.
Sezbera
amesema pamoja na tatizo la uhaba wa fedha linaoikabili
jumuiya hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kukabiliana
↧