Kamanda Siro Atoa Ushahidi wake Katika Kesi ya Maandamano ya Mbunge Halima...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa na Naibu Kamishna wa Polisi, Kamanda Simon Siro (54), ambaye amedai mahakamani kwamba alitoa zuio la kuandamana kwenda Ikulu kwa...
View ArticleStara Thomas akana kufumaniwa na mpenzi wake
Aliyekuwa mwimbaji muziki wa gospel na baadaye kurudi kwenye Bongo Fleva,Stara Thomas amekana habari zilizoenea hivi karibuni kuwa amefumaniwa na mpenzi wake nyumbani kwake. Akizungumza na Soudy...
View ArticleMwanafunzi wa Shule ya Msingi Aua Mwanafunzi Mwenzake Darasani Wakati...
Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Ilola iliyopo katika wilaya ya Shinyanga vijijini aitwaye Veronica Venance mwenye umri wa miaka 12 amefariki dunia kwa kupigwa na mwanafunzi...
View ArticleSheria: Namna ya Kuwashitaki Askati Wanaowabambikiza Kesi Raia
Hapa kwetu Tanzania habari ya kubambakiziana kesi ni kama mtindo. Mara nyingi matendo haya yamekuwa yakifanywa na watu wenye uwezo kifedha dhidi ya wasio na fedha pia kati ya maofisa wa polisi na...
View ArticleAndrew Chenge Agoma Kuhojiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Umma.....Adai kuna...
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Mtemi Andrew Chenge, jana ameonyesha utemi wake mbele ya Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma, baada ya kusema haiwezi kumjadili kwa sababu kuna kesi mahakamani. Alisema...
View ArticleWaliomuiba Mtoto Albino Pendo Wakamatwa Jijini Mwanza
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amesema watu wote waliohusika ‘kuiba’ mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino) Pendo Emmanuel (4) katika kijiji cha Ndami wilayani Kwimba, Mwanza, wamekamatwa....
View ArticleBreaking News: Chid Benz Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Miwili Jela au Kulipa...
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah Makwaro Maarufu kama (Chid Benzi) amehukumiwa kifungo cha miaka mwili jela au kulipa faini ya shingili laki tisa bada ya...
View ArticlePolisi Jijini Arusha Wadaiwa Kumvunja Mikono Raia....Ni baada ya kukodiwa na...
MKAZI wa Loksale wilaya ya Monduli, Samwel Petro Shani(47) amelalamikia hatua ya kuvunjwa mikono yake miwili kwa kipigo cha askari polisi katika kituo cha Leskale kwa madai ya kushindwa kulipa deni ya...
View ArticleWakazi wa Ilula Mkoani Iringa Wagoma Kupokea MAITI Aliyeuawa na Polisi
Wakazi wa Ilula Mkoani Iringa wamegoma kupokea maiti ya mama aliyeuwawa wakati wa mapambano yalioyotokea juzi mkoani Iringa kati yao na polisi kwa masharti mawili: Mosi: Wananchi 18 Waliokamatwa...
View ArticlePicha ya Mpenzi wa Diamond , Zari akioga bafuni yazua gumzo mtandaoni
Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa...
View ArticleTRA yasisitiza usajili wa pikipiki ndani ya muda.....Usajili huo ni wa namba...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewakumbusha wamiliki wa pikipiki maarufu kama bodaboda kuzifanyia usajili kwani watakaoshindwa kufanya hivyo ndani ya muda uliopangwa watachukuliwa hatua za...
View ArticleJWTZ wapewa mafunzo kukabili majanga ya moto
ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kambi ya Ihumwa mjini hapa wamepatiwa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto na uwezo wa kukabiliana na matukio ya moto. Kutokana na mafunzo hayo...
View ArticleBaada ya CHADEMA Kuigaragaza CCM, Mbunge wa Sumbawanga Apangua Shinikizo la...
MBUNGE wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeish Hilaly amesema hatajiuzulu ng’o nafasi yake kama Mbunge kwa sababu za CCM kushindwa vibaya katika uchaguzi wa marudio uliofanyika juzi katika kata tatu na mitaa...
View ArticleWatoto wa vigogo marufuku kupewa vizimba Mwanjelwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amepiga marufuku watoto wa vigogo wa serikali, mashirika binafsi, taasisi , madiwani na wanasiasa wengine kupewa vizimba vya biashara katika soko kuu la kisasa la Mwanjelwa...
View ArticleUkuaji wa Uchumi waporomoka kutoka 7.4% hadi 6.8%
Pato la Taifa kwa kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka 2014 toka Julai mpaka hadi Septemba 2014 limekuwa na kufikia Trillion 21.2 ikilinganishwa na Trillion 19.8 kipindi kama hiki mwaka 2013. Akizungumza...
View ArticleMwanaume wa Miaka 45 Ahukumiwa kifungo cha maisha Jela kwa kosa la Kumbaka...
Mwanaume mmoja Yusufu Chatambala (45) mkazi wa Kijiji cha Makutupa Kata ya Lupeta Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukiri kosa la kumbaka mtoto mdogo mwenye...
View ArticleSerikali yaombwa kuongeza muda wa uandikishaji BVR
Wakati zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR likiingia katika siku ya Nne katika halmashauri ya Makambako mkoani Njombe baadhi ya wananchi waliofika katika vituo...
View ArticleWatu 3 Wateketea Kwa Moto Baada ya Lori La Mafuta Kupinduka na Kuwaka Moto
Watu watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kuteketea kabisa akiwemo dereva na utingo wake baada ya lori la mafuta kuacha njia na kupinduka na kuungua moto katika eneo la Maseyu barabara ya...
View ArticleProfesa Anna Tibaijuka Ahojiwa Na Baraza la Maadili ya Viongozi wa...
BARAZA la Maadili ya Viongozi wa Umma, limemsomea rasmi mashitaka aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (pichani), na kubainisha kuwa kiongozi huyo...
View ArticleAndrew Chenge AGOMA Tena Kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa...
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ameendelea kupambana ili Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, lisiendelee kusikiliza shauri lake, licha ya pingamizi lake kutupiliwa mbali jana. Chenge...
View Article