MBUNGE wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeish Hilaly amesema hatajiuzulu ng’o nafasi yake kama Mbunge kwa sababu za CCM kushindwa vibaya katika uchaguzi wa marudio uliofanyika juzi katika kata tatu na mitaa miwili wilaya ya Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa.
Uchaguzi huo uliofanyika katika kata za Msua ,Kizwite na Chanji pamoja na mitaa miwili ya Bangwe kata ya Izia na Tambazi kata ya Sumbawanga
↧