WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amepiga marufuku watoto wa vigogo wa serikali, mashirika binafsi, taasisi , madiwani na wanasiasa wengine kupewa vizimba vya biashara katika soko kuu la kisasa la Mwanjelwa mkoani humu, kuruhusu waliounguliwa bidhaa kwenye soko la awali wapate nafasi.
Akihutubia maelfu ya wananchi katika eneo la soko hilo kwenye halmashauri ya Mbeya Mjini, baada ya kuweka jiwe
↧