Pato la Taifa kwa kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka 2014 toka Julai
mpaka hadi Septemba 2014 limekuwa na kufikia Trillion 21.2
ikilinganishwa na Trillion 19.8 kipindi kama hiki mwaka 2013.
Akizungumza
na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Takwimu
za Uchumi toka Ofisi ya Taifa za Takwimu Mourice Oyuke alisema kuwa
kukuwa kwa pato la taifa kumetokana na
↧