Mwanaume
mmoja Yusufu Chatambala (45) mkazi wa Kijiji cha Makutupa Kata ya
Lupeta Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma, amehukumiwa kifungo cha maisha
jela baada ya kukiri kosa la kumbaka mtoto mdogo mwenye umri wa miaka
minne.
Mwendesha mashtaka wa polisi Godwill Ikema ameiambia mahakama ya
Wilaya ya Mpwapwa kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Feb 20 mwaka huu
majira ya saa 12 jioni katika
↧