Wakati
zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR
likiingia katika siku ya Nne katika halmashauri ya Makambako mkoani
Njombe baadhi ya wananchi waliofika katika vituo mbalimbali vya
uandikishaji wameiomba serikali kuongeza siku za zoezi hilo kutokana na
changamoto lukuki zinazokabili zoezi hilo.
Mpekuzi imetembelea baadhi ya vituo vya uandikishaji na
↧