Watu watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kuteketea kabisa
akiwemo dereva na utingo wake baada ya lori la mafuta kuacha njia na
kupinduka na kuungua moto katika eneo la Maseyu barabara ya Morogoro Dar
es Salaam.
Mwandishi wetu alishuhudia kikosi cha zimamoto ambao walichukua muda kuuzima moto
huo kutokana na kusambaa ambapo hata hivyo hakukua na matukio ya watu
↧