Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleTiko: Nataka Mtoto wa Pili lakini Sina Mwanaume wa Kunipa Mimba
Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake wa kwanza amefikisha miaka 10, tatizo hana wa kuzaa naye. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Tiko...
View ArticleMke wa Mtu Anaswa Akifanya Mapenzi na Njemba Kwenye Gari
Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu amenaswa live akifanya mapenzi ndani ya gari katika eneo la Kirumba jijini Mwanza. Mwanamke huyo alinaswa majira ya saa tisa za usiku katika eneo...
View ArticleMwanamke Auawa na Mumewe Kwa Kipigo na kisha Mwili wake Kufukiwa katika Zizi...
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Ubetu Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amefariki dunia baada ya kupigwa na mume wake sehemu mbalimbali za mwili na kisha kuzika mwili wake kwenye boma la ng'ombe....
View ArticleWafuasi wa CUF Wawazidi Ujanja Polisi Mahakamani.....Kesi yapigwa kalenda...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam,jana iligeuka mithili ya uwanja wa sinema baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) kuwafutia mashitaka watu 30 wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa...
View ArticleNdege ya Jeshi Yaanguka na kuwaka moto jijini Mwanza.....Rubani Anusurika
Ndege ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kuwaka moto wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu. Chanzo...
View ArticleDiamond Platnumz Banned From Mombasa Events!
This just in: according to Grace Kerongo, Diamond Platnumz has been declared persona non-grata at Mombasa events. The decision was allegedly reached after the Tanzanian sexy flexxy singer reportedly...
View ArticleJWTZ Watoa Tamko Baada ya Ajali ya Ndege ya Kivita Iliyotokea Mkoani Mwanza Leo
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza. Ndegevita za...
View ArticleKesi ya Kumdhuru Mfanyakai Wa Ndani Yapigwa Kalenda
Kesi ya kumdhuru mfanyakazi wa ndani inayomkabili raia wa Ufaransa, Folkertsma Laurent (41), imeahirishwa hadi Machi 31, mwaka huu kutokana na shahidi kutofika mahakamani. Awali, Wakili wa Serikali,...
View ArticleKijana Akana Kubaka Na Kumpa Mimba Mwanafunzi wa Miaka 16
Mkazi wa Tabata, Erasto Clement (22) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala na kukana mashitaka ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa miaka 16....
View ArticleKobe 250 Wakamatwa Uwanja Wa Ndege Zanzibar Wakitoroshwa Kwenda Malaysia
Kobe wadogo 250, wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakiwa njiani kusafirishwa kwa njia ya magendo kwenda Malaysia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi...
View ArticleDkt. Magufuli Aongoza Wananchi Kwenye Majaribio ya Uzinduzi wa Kivuko cha MV...
Kivuko cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa...
View ArticleUrais 2015: Hatima ya KIFUNGO cha Akina Lowassa, Membe na Wengine Kujulikana...
Kamati Kuu ya CCM (CC) iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye inakutana leo na suala kubwa linalotarajiwa na wanachama na wananchi, ni tathmini ya hukumu ya vigogo sita wa chama, waliokuwa wakitumikia...
View ArticleDiamond Platnumz Busted By His Lover; Find Out What He Was Doing! [Photo]
Awhile back in 2014 Solange Knowles put up a photo of Beyonce sneakily peeping at Jay Z’s phone. She said that it was happening because they had trust issues. Since then, the photo has made rounds...
View ArticleMeet The Lady Fired For Not Allegedly Letting MP Have S£X With...
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); It seems like Jubilee Alliance MPs and Senators are addicted to s*x like their CORD Coalition counterparts. A case in point is Juja MP, Francis...
View ArticleWimbi la Kumshawishi Edward Lowassa Kugombea Urais Lazidi Kupamba Moto.
Wimbi la watu kumuunga mkono na kumshawishi Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kugombea nafasi ya urais wakati utakapofika, limezidi kupamba moto na safari hii, ujumbe mzito kutoka Pemba unajiandaa...
View ArticleDC Paulo Makonda Kufikishwa Mahakamani kwa Udhalilishaji
Viongozi wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wanakusudia kumfikisha mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, Jumatatu ijayo kwa madai ya kuwakashifu, kuwadhalilisha na kuwatukana....
View ArticleOf The Women Diamond Has “Eaten”, Zari Or Wema Sepetu; Who Is “Sweeter”...
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); If you were to ask Diamond, he would probably say that older ladies are sweeter. Something to do with fine wine and time but what do I know?...
View ArticleBreaking News: Mbunge wa Mbinga Magharibi Mh. Kapteni John Komba Afariki Dunia
Mbunge wa Mbinga Magharibi Mh. Kapteni John Komba amefariki Dunia leo saa 10 jioni katika Hosptali ya TMJ Mikocheni. Kwa Mujibu wa mtoto wa Marehemu Bw. Jerry Komba amesema kifo cha marehemu baba...
View ArticlePICHA: Majonzi Yatawala Msabani kwa Mbunge Kapten John Komba
Makazi ya marehemu John Komba, Mbezi Tangi Bovu jijini Dar ...waombolezaji wakilia kwa uchungu nyumbani kwa marehemu ...masikitiko na kilio kwa mjane wa marehemu, Bi. Salome Komba Waziri wa...
View Article