Dr. Wilbrod Slaa Amlilia Marehemu Kapteni John Komba.....Asema Taifa...
Yakiwa Yamepita Masaa Machache baada ya Mbunge wa Mbinga mashariki Kaptain John Komba kufariki dunia Gafla kutokana na kusumbuliwa na Ugonjwa wa kisukari kwa mda mrefu, Viongozi mbalimbali...
View ArticleVIDEO: Kamati Kuu ya CCM Yawatimua Akina Chenge, Ngeleja na...
KAMATI kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM /CC,imewazuia Viongozi wake waliochukua pesa kwenye Akaunt ya Escrow kutoingia kwenye Vikao vya juu vya Chama hicho. Viongozi waliozuiliwa ni Mbunge wa Muleba...
View ArticleRais Kikwete atoa Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge wa Mbinga,Mh....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko mkubwa na huzuni nyingi taarifa za kifo cha ghafla cha...
View ArticlePinda kuigawa wilaya ya Chunya kabla ya Oktoba 30
Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda ameahidi kuigawa wilaya ya Chunya ili kupata wilaya mbili kabla ya uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Uamuzi wa waziri mkuu kuigawa...
View ArticleNEC yaongeza muda wa kujiandikisha Makambako
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeongeza muda wa siku mbili zaidi katika zoezi la uandikishaji wapiga kura kwenye daftari lakudumu la wapiga kura kwa njia ya Biometric voters registration (BVR) lililokuwa...
View ArticleKapteni Komba kuagwa kesho jijini Dar
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa kundi la uhamasishaji chama cha CCM LA Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni Mstaafu John Komba unatarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya...
View ArticleVIDEO: Rais Kikwete Aifariji Familia ya Marehemu Kapten John Komba Leo
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni...
View ArticleKapt. Komba kuzikwa Mbinga, Jumanne Machi 3
Mwili wa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi nchini Tanzania Kapteni mstaafu John Komba unatarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam. Akizungumza na Kurasa nyumbani kwa...
View ArticleWazazi waliooza binti wa miaka 10 kortini
WAZAZI wa mtoto mwenye umri wa miaka 10 aliyeozwa kwa siri wilayani Bahi, katika Mkoa wa Dodoma, wanafikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayowakabili. Mtoto huyo aliokolewa kutoka kwenye ndoa...
View ArticleWatu Watano Mahututi baada ya kunywa dawa za Kienyeji Walizopewa na Mganga wa...
WATU watano wa familia moja katika Kitongoji cha Benaco, Kata ya Mtandi Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara, wamelazwa katika Hospitali ya Mkomaindo huku hali zao zikiwa mbaya baada ya kunywa...
View ArticleLinah na Recho Wanaswa Wakifanya Mambo ya Aibu Mbele ya Watu
Masistaduu wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ na rafiki yake, Winfrida Josephate ‘Recho’, wamefanya mambo ya aibu mbele ya kadamnasi. Tukio hilo la aibu lilijiri hivi karibuni usiku kwenye bwawa...
View ArticleShamsa: Sipendi Wanaolalamika Kutendwa!
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford ametoa mtazamo wake kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu swala la watu kulalamika muda wote kuwa wametendwa kwenye maswala...
View ArticleWaziri Mkuu Awafariji Askari 9 Waliopata Ajali Wakiwa Kwenye Msafara Wake
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda, amewatembelea askari wa Jeshi la Polisi waliolazwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Mbeya kutokana na ajali waliyoipata jana wakati msafara wake ukielekea Kata ya Galula wilayani...
View ArticleCUF Waishangaa CCM Kuwazuia Akina Chenge, Ngeleja na Tibaijuka Kuhudhuria...
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimeshangazwa na uamuzi wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi wa kuwazuia viongozi waliohusika na kujipatia mgawo wa fedha kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow kutohudhuria...
View ArticleRadi Yaua Watu Watano wa Familia Moja huko Shinyanga......Wanne kati Yao...
WATU watano wa familia moja wakiwemo wanafunzi wanne wamekufa papo hapo kwa kupigwa radi wakiwa shambani katika Kijiji cha Manungu kata ya Uyogo, Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, mkoani...
View ArticleRatiba ya Kuuaga Mwili wa Marehemu Kapten Komba Leo katika Viwanja Vya Karimjee
Mwili wa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi nchini Tanzania Kapteni mstaafu John Komba unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam. >>>BOFYA HAPA KUIONA...
View ArticleHali si Nzuri ndani ya NNCR-Mageuzi: Mbunge wa Kasulu Mjini Moses Machali...
MBUNGE wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi), ametangaza rasmi kwamba hatagombea tena ubunge wa jimbo hilo wakati wa uchaguzi mkuu mwaka huu. Amesema ingawa alikuwa na nia ya kuendelea...
View ArticleZitto Kabwe Ataka Andrew Chenge Apewe 'Kifungo Cha Maisha' Uongozi wa Umma
WAKATI Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma ikiendelea na mvutano wa sheria na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),...
View ArticleUrais 2015: Kiongozi wa CHADEMA Atangaza Kumuunga Mkono Edward...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetahadharishwa kisifanye mzaha na uteuzi wa mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, kwani kisipoteua mtu makini na mchapa kazi anayekubalika na jamii, mgombea...
View ArticlePhotos : Girl Takes Her Life After Boyfriend Dumped Her For Best Friend
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); So sad! A young Nigerian girl has taken her life after her boyfriend dumped her for her best friend. According to a close source,the deceased body...
View Article