Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford ametoa mtazamo wake kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu swala la watu kulalamika muda
wote kuwa wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.
“Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila
kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na
kumpuuza”. Aliandika
↧