WAKATI Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma ikiendelea na mvutano wa
sheria na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe,
amesema mbunge huyo alistahili kufungiwa kushiriki kwenye uongozi wa
umma muda mrefu.
Zitto alisema kuwa tangu izuke kashfa ya rada ambayo pia
Chenge alihusishwa, tume ya
↧