MBUNGE wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi), ametangaza rasmi
kwamba hatagombea tena ubunge wa jimbo hilo wakati wa uchaguzi mkuu
mwaka huu.
Amesema ingawa alikuwa na nia ya kuendelea kuongoza jimbo hilo,
amelazimika kuacha kwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama chake wilayani
Kasulu wanachafua jina lake bila sababu.
Machali alitangaza msimamo huo juzi mjini Kasulu
↧