Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa kundi la
uhamasishaji chama cha CCM LA Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni
Mstaafu John Komba unatarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya Karimjee.
Mwili huo utaagwa kuanzia saa nne asubuhi kabla ya kusafirishwa kwenda Mbinga kwa maziko siku ya Jumanne.
Kifo cha Marehemu Komba kinakuwa ni pigo jingine kubwa katika tasnia
↧