Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa
ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015
katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza.
Ndegevita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida ya kivita, Wakati
rubani wa ndegevita iliyopata ajali akijiandaa kuruka ndipo ndege mnyama
akaingia katika moja ya injini zake na kusababisha ndegevita
↧