Kesi ya kumdhuru mfanyakazi wa ndani inayomkabili raia wa Ufaransa, Folkertsma Laurent (41), imeahirishwa hadi Machi 31, mwaka huu kutokana na shahidi kutofika mahakamani.
Awali, Wakili wa Serikali, Felista Mosha wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, alidai kwamba kesi hiyo jana ilikuja kwa ajili ya kusikilizwa na kwamba shahidi waliyemtegemea mahakamani hapo hakufika.
Pia alidai kuwa
↧