Kivuko cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa kwamba kitakapoanza kutoa huduma kitatumia saa mbili kwa safari moja.
Akizungumza katika ziara ya ukaguzi wa Kivuko hicho, Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, alisema wamekifanyia
↧