Kamati Kuu ya CCM (CC) iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye inakutana leo na suala kubwa linalotarajiwa na wanachama na wananchi, ni tathmini ya hukumu ya vigogo sita wa chama, waliokuwa wakitumikia adhabu baada ya kubainika kuanza kampeni za urais mapema.
Vigogo ambao tathmini ya mwenendo wao inasubiriwa baada ya kikao hicho ni pamoja na waliokuwa mawaziri wakuu, Edward Lowassa na
↧