Wimbi la watu kumuunga mkono na kumshawishi Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kugombea nafasi ya urais wakati utakapofika, limezidi kupamba moto na safari hii, ujumbe mzito kutoka Pemba unajiandaa kufanya hivyo.
Taarifa za maandalizi kwa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Pemba kwenda Monduli kumshawishi Lowassa kugombea urais, zimekuja siku chache baada ya baadhi
↧