Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam,jana iligeuka mithili ya uwanja wa sinema baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) kuwafutia mashitaka watu 30 wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) kutimua mbio na kutoweka eneo la mahakama hiyo.
Kitendo hicho kiliwafanya wafuasi hao wanusurike kuunganishwa katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim
↧