Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Ndege ya Jeshi Yaanguka na kuwaka moto jijini Mwanza.....Rubani Anusurika

$
0
0
Ndege ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kuwaka moto wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu.   Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya  injini za ndege hiyo ilipotaka kuruka,  ikashindwa na kuanguka.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>