Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari
aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga
imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka
picha ile na kwamba amejianika na haina maadil
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wakizungumzia picha hiyo:
faridahfakhi :Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike
↧