Wana CCM Serengeti watua kwa Edward Lowassa.....Wamtaka Achukue Fomu ya...
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), kuchukua fomu ya kuwania urais muda...
View ArticleVifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu
Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamko kuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za simu nchini kufuatia kubadilika kwa vifurushi vya mawasiliano. Malalamiko hayo yalikuja...
View ArticlePicha CHAFU za Msanii Maarufu Uganda Zavuja Mtandaoni Akiwa kama Alivyozaliwa
Picha chafu za Msanii maarufu wa kike nchini Uganda zimevuja na kusambaa kwa kasi mtandaoni..... Picha hizo Ambazo zilianza kusambaa jana zinamuonyesha msanii huyo akiwa...
View ArticleVurugu Ilula Mkoani Iringa, Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto!
Wananchi wenye hasira mjini Ilula, mkoani Iringa, wamevamia kituo cha polisi na kuvunja milango kisha kuwafungulia mahabusu waliokuwemo ndani, wakachoma moto baadhi ya magari yaliyokuwepo kituoni...
View ArticleRais Kikwete apokea vitabu Mil 2.5 vya Sayansi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amesema serikali itaendelea kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kwa lengo la kuhakikisha vijana wanaosoma katika shule za sekondari wanapata elimu bora mara...
View ArticleWaethiopia 13 wakamatwa wakisafirishwa Morogoro
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limewakamata wahamiaji haramu 13 kutoka nchini Ethiopia wakiwa kwenye gari ndogo aina Prado katika kijiji cha Lusanga Turiani wilayani Mvomero wakijiandaa...
View ArticleWaziri Mkuu Aagiza Watendaji Waliokaa Kwenye Halmashauri Kwa Zaidi ya Miaka...
Watendaji wa Halmashauri waliokaa kwenye vituo vya kazi kwa zaidi ya miaka 10, wataanza kuhamishwa wakati wowote kuanzia sasa kuleta ufanisi katika utendaji na kukomesha kufanya kazi kwa mazoea....
View ArticleSerikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Yaichefua CCM
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na...
View ArticleWarioba Ashutumu Ubinafsi wa Vyama vya Siasa Katika Mchakato wa Kura ya Maoni
Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba amevitaka vyama vya siasa kuzingatia matakwa ya wananchi katika suala zima la Kura ya Maoni ya Katiba...
View ArticleWanajeshi 6 wa JTK Waliotaka Kuandamana Wafikishwa Mahakamani Chini ya Ulinzi...
Wahitimu sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya mkusanyiko usio halali....
View ArticleBunduki ya kivita na risasi 524 zakamatwa Kibondo
Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma ACP Jafari Mohamed amesema, risasi 524 na bunduki moja ya kivita aina ya SMG zimekamatwa katika eneo la kijiji cha Nduta baada ya polisi katika kizuizi cha Nduta...
View ArticleWastara Azimia Kisa Penzi la Bond
Diva wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo...
View ArticlePicha: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu
Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana. Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi...
View ArticleShilole na Mchumba Wake Nuh Mziwanda Wachafua Hali ya Hewa Mtandaoni baada...
Mwigizaji na mwanamziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada ya kutupia picha yaowakiwa uchi. Nuh Mziwanda...
View ArticleMigodi ya Dhahabu Nchini Kuanza Kulipa Ushuru
Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; na migodi ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inayomilikiwa na...
View ArticleRais Kikwete Aweka Shada la Maua Katika Makaburi ya Marais Lusaka Zambia
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata aliyefariki mwaka jana katika eneo la maziko ya viongozi wa...
View ArticleVodacom na Tigo waungana kutoa huduma bora za kifedha
Huduma za kutuma na kupokea fedha na kufanya mihamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni ya Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa zitazidi...
View ArticleIle picha ya askari wa Tanzania kupigana mabusu iliteka Dunia.....Hapa iko...
Unakumbuka ile Stori ya askari Asuma Mpaji na Veronica Nazaremo kufukuzwa kazi Mkoani Kagera baada ya picha zao kusambaa mitandaoni wakionekana kupigana mabusu? safari hii nakuletea tena stori...
View ArticleMatonya: Tundaman aliniibia hela zangu benki
Matonya na Tundaman wameingia kwenye vita vya maneno. Ugomvi huo umeanza baada ya Tundaman kudai kuwa alimtungia wimbo Matonya kwenye album yake ya Vailet. Akiongea kwenye 255 ya XXL kupitia Clouds FM...
View ArticleShilole adai atamzalia Nuh Mziwanda watoto wawili
Shilole amedai kuwa mpango wake ni kumzalia mchumba wake Nuh Mziwanda watoto wawili. Muimbaji huyo mwenye watoto wawili wa kike alisema hayo wakati akiongea kwenye kipindi cha The Mboni Show....
View Article