VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Serengeti mkoani Mara,
wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward
Lowassa (CCM), kuchukua fomu ya kuwania urais muda utakapofika kwani
wanaamini ni kiongozi anayefaa kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho.
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Vicent Nyamasagi,
viongozi hao walitoa kauli hiyo
↧